March 16, 2017


Huyu ndiye Ahmad Ahmad, shujaa mpya wa Afrika katika mchezo wa soka.

Kumuangusha Issa Hayatou katika uchaguzi mkuu wa kuwania Urais wa Shirikisho la Soka Afrika (Caf) si jambo dogo.

Lakini Ahmad amefanya hivyo leo akimshinda Hayatou baada ya kujikusanyia kura 34 dhidi ya 20 alizopata babu huyo mwenye umri wa miaka 71.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic