MBWANA SAMATTA, KIJANA ANAYEPAA.....KILA LA KHERI Unaweza kusema ni kijana anayepaa na tumaini la Watanzania kutengeneza mifano. Mbwana Samatta, nahodha wa Taifa Stars anayekipiga KRC Genk ya Ubelgiji. Tunaamini unamjua. Hii ni picha tu na tunamtakia kila la kheri. Siku njema.
0 COMMENTS:
Post a Comment