March 12, 2017


Wakati Ligi Kuu England inasonga ukingoni huku Chelsea wakiwa wameng’ang’ania kileleni, mshambuliaji Diego Costa maarufu kama “Mnyamaaaa” amezidi kujifua.

Costa ambaye ni kati wapachikaji mabao tegemeo, ameendelea kujifua kuhakikishaa nakuwa fiti zaidi kupambana na mabeki “wakatili”.

Anaamini anaweza kufanya vema lakini mazoezi zaidi ni muhimu kwa kuwa mwishoni, upinzani unazidi kuongezeka.

Chelsea inaongoza EPL ikiwa na pointi 66, inafuatiwa na Tottenham yenye 56 na Man City ina 56 pia katika nafasi ya tatu.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV