March 12, 2017


Deportivo ikiwa nyumbani imeichapa Barcelona kwa mabao 2-1 katika mechi ya La Liga iliyopigwa Raizor Stadium, leo.

Kipigo hicho kwa Barcelona ambayo ilifanya maajabu siku chache zilizopita kwa kuing'oa PSG katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, kinasaidia kuongeza nafasi ya Real Madrid kuwa mabingwa wa La Liga.

Deportivo (4-2-3-1): Lux; Juanfran (Laure 86), Albentosa, Arribas, Navarro; Bergantinos, Borges; Gama (Kakuta 71), Fajr, Gil (Colak 62); Joselu.
Subs not used: Tyton, Luisinho, John, Moreno
Goals: Joselu 40, Bergantinos 74
Booked: Navarro, Joselu


Barcelona XI (4-3-3): Ter Stegen; Roberto, Pique, Mascherano, Alba; Gomes (Iniesta 58), Busquets, Denis Suarez (Alcacer 77); Messi, Luis Suarez, Turan (Rakitic 58).
Subs not used: Cillessen, Digne, Umtiti, Alena
Goal: Suarez 460 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV