March 7, 2017


Method Mwanjale ameanza kuonyesha matumaini ya kurejea.

Mwanjale amekuwa akipata matibabu maalum kutokana na maumivu ya goti.


Beki huyo tegemeo wa Simba, amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya goti jambo ambalo limemfanya akose zaidi ya mechi tatu hadi sasa.

"Sasa kafikia kiwango cha kufanya mazoezi, hata kama ni taratibu au kwa tahadhari lakini anaongeza matumaini," kilieleza chanzo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV