March 7, 2017

John Terry ameamua kujiweka fiti kwa kucheza ngumi.

Nahodha huyo wa Chelsea, amekuwa akijifua na mwalimu maalum aitwaye Bradley Simmonds.

Hii inaonyesha Terry hajakata tamaa hata kidogo katika suala la kupata namba.

Katika siku za hivi karibuni amekuwa akikaa benchi muda mwingi. 0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV