March 4, 2017


Pamoja na kwamba awali, beki wa kati wa Simba Mwanjale alionekana anarejea na kuwa fiti, daktari amemuongezea siku zaidi.

Mwanjale atakuwa nje kwa matibabu kwa siku 15 kabla ya kurejea mazoezini.

Imeelezwa, goti aliloumia linahitaji mapumziko wakati akiendelea na matibabu.


Matarajio ni kuanza mazoezi wiki ijayo ingawa inawezekana hatacheza mechi mbili za mwanzo au zote za Kanda ya Ziwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic