March 12, 2017


Ulinzi katika mechi ya watani nchini Scotland si mchezo. Polisi hulazimika kufanya kazi ya ziada zinapokutana Celtic dhidi ya Rangers.

Angalia picha hii inaonyesha namna mashabiki wa Rangers walivyopewa ulinzi kuhakikisha wanaingia na kutoka salama uwanjani.

Ingawa wanajua ni hatari kwao, hawakubali na ni lazima kwenda kuishangilia timu yao.


Ulinzi huu ni wa aina yake lakini unakuwa mkali kutokana na chuki kuu baina ya mashabiki wa timu hizo mbili.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV