March 15, 2017


Siku chache baada ya Kocha Jose Mourinho kuushambulia uwanja unaomilikiwa na klabu ya Rostov ya Russia, taarifa zimeeleza umefungiwa.


Rostov waliocheza na Man United katika Europa League na kupata safe ya 1-1, Uwanja wao wa Omlip 2, umefungiwa katokana na ubovu.

Sasa mechi hazitachezwa katika uwanja huo hadi hapo marekebisho yatakapofanyika.

Mourinho na wachezaji wa Man United walilalamika kuhusiana na ubovu wa uwanja huo uliojaa tope kupita kiasi huku nyasi zikiwa ni vipara.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV