March 16, 2017


Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu amesimamia zoezi la upimani suti kwa wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya 17, Serengeti Boys.


Zoezi hilo limefanyika leo kwenye ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambako kuna kambi ya Serengeti Boys.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV