Mwendo wa Barcelona katika Ligi ya Mabingwa unaonekana si mzuri na tayari uongozi wa kikosi hicho umeanza kuangalia mipango ya kuboresha kikosi chake.
Wapo wanaopewa nafasi ya kubaki kwa asilimia mia, wako ambao wako hatarini au mkuu ndani mguu nje na wale ambao hakuna mjadala, "safari imewakuta".
Hii inatokana na ushiriki wao katika kikosi cha Barca na namna ambavyo wamekuwa wakionekana ni msaada.
MAKIPA:
Marc-Andre ter Stegen - ABAKI
Jasper Cillessen - ABAKI
Jordi Masip - YUKO HATARINI
MABEKI:
Jordi Alba - ABAKI
Lucas Digne - ABAKI
Javier Mascherano - YUKO HATARINI
Gerard Pique - ABAKI
Samuel Umtiti - ABAKI
Jeremy Mathieu - SAFARI INAMKUTA
Sergi Roberto - ABAKI
Aleix Vidal - YUKO HATARINI
VIUNGO:
Sergio Busquets - ABAKI
Rafinha Alcantara - YUKO HATARINI
Andre Gomes - YUKO HATARINI
Ivan Rakitic - YUKO HATARINI
Denis Suarez - ABAKI
Andres Iniesta - ABAKI
Arda Turan - SAFARI INAMKUTA
WASHAMBULIAJI:
Lionel Messi - ABAKI
Luis Suarez - ABAKI
Neymar - ABAKI
Paco Alcacer - YUKO HATARINI
Mwandishi
ReplyDeleteWa habari ya Barcelona simuelewi nadhani hata wengine hawamuelewi, neno ABAKI sijui anamaanisha HABAKI au, umakini please, sehemu nyingine ameandika "mkuu nje" "mguu ndani".