Baada ya Real Madrid kuonekana wamekomaa na kweli wanataka kumnunua kipa David de Gea, Manchester United imeonekana kukubaliana na hilo na iko tayari kupokea kitita cha pauni milioni 60.
Wakati Man United imekubali, wafuatao ndiyo makipa wanaonekana wako kwenye rada za Man United kuhakikisha wanaziba pengo la kipa huyo Mhispania.
Joe Hart (Manchester City)
Hugo Lloris (Tottenham)
Bernd Leno (Bayer Leverkusen)
Samir Handanovic (Inter Milan)
Jordan Pickford (Sunderland)
Kasper Schmeichel (Leicester)
Jan Oblak (Atletico Madrid)
Gianluigi Donnarumma (AC Milan)
0 COMMENTS:
Post a Comment