April 18, 2017

BEKI WA KAGERA SUGAR, MOHAMMED FAKHI AKIWA NA MRATIBU WA KAGERA SUGAR, MOHAMED HUSSEIN WAKIENDELEA KUSUBIRI MATOKEO YA KIKAO CHA KAMATI YA KATIKA, SHERIA NA HADHI YA WACHEZAJI AMBACHO KILIKUWA KINAENDELEA KATIKA HOTELI YA PROTEA OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM, LEO.

KAGERA SUGAR INADAI POINTI ZAKE TATU WALIZOPEWA SIMBA NA KAMATI YA SAA 72 BAADA YA AWALI KUBAINIKA FAKHI ALICHEZA AKIWA NA KADI TATU ZA NJANO KATIKA MECHI AMBAYO SIMBA ILILALA KWA MABAO 2-1 KWENYE UWANJA WA KAITABA MJINI BUKOBA, KAGERA, WIKI MBILI ZILIZOPITA. 


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV