April 13, 2017


Manchester United, imeshinda kwa bao 1-0 katika mechi yake ya kwanza ya robo fainali ya Europa Cup.

Man United imeshindwa kutamba katika mechi yake ya kwanza ya Kombe la Europa League baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na Anderlecht ya Ubelgiji.

Maana yake, Man United itaitegemea mechi yake ya pili itakapokuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Old Trafford jijini Manchester.

Henrikh Mkhitaryan ndiye aliyefunga bao la Manchester United ambayo itajilaumu kupoteza nafasi nyingi zaidi za kufunga.

Wakati ikionekana kama Man United wameshinda, Leander Dendoncker alisawazisha katika dakika ya 86 na kumaliza furaha ya Kocha Jose Mourinho.


Man United starting XI: Romero, Valencia, Bailly, Rojo, Darmian, Carrick (C), Pogba, Mkhitaryan, Lingard, Rashford, Ibrahimovic 
Subs: De Gea, Blind, Fosu-Mensah, Shaw, Fellaini, Herrera, Martial
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV