Yanga imeondoka kwa makundi la kwanza jioni na la pili usiku huu na imeelezwa kutokana na suala la kuchelewa kukata tiketi.
“Tulipata ndege ya mchana, halafu ile ya usiku. Kwa kuwa tunatakiwa kwenda saa, hatukuwa na ujanja,” kilieleza chanzo.
Yanga ilishinda mechi yake kwanza kwa bao 1-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Inatakiwa sare ya aina yoyote au ushindi ili kusonga mbele.
0 COMMENTS:
Post a Comment