Mshambuliaji wa Liverpool, Sadio Mane tayari amefanyiwa upasuaji wa goti na ameishatoka hospitali.
Mane aliumia katika mechi ya Ligi Kuu England Liverpool ikiiripua Everton kwa mabao 3-1.
Mane mwenye umri wa miaka 25 aria wa Senegal inaonekana atakosa karibu msimu wote uliobaki.
MECHI ATAKAZOKOSA MANE
April 16 West Bromwich (A)
April 23 Crystal Palace (H)
May 1 Watford (A)
May 7 Southampton (H)
May 13 West Ham United (A)
May 21 Middlesbrough (H)
0 COMMENTS:
Post a Comment