Mashabiki wanane wa Leicester City wamekamatwa na polisi kabla ya mechi ya timu yao dhidi ya Atletico Madrid.
Mashabiki hao wamekamatwa mini Madrid Hispania baada ya kusababisha vurugu na pia kuwabishia askari waliowataka waondoke eneo hilo.
Katika vurugu hiyo, polisi na shabiki mmoja walijeruhiwa ingewa imeelezwa ni majeraha madogo.
Leo Leicester ina kazi ya kupambana na Atletico katika mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
0 COMMENTS:
Post a Comment