April 28, 2017


Jose Mourinho na Pep Guardiola ni wapinzani kweli na wamekuwa wakikutana wakiwa katika timu mbalimbali za nchi tofauti.

Leo ilikuwa kazi ngumu ya Man City inayonolewa na Guardiola dhidi ya Man United chini ya Mourinho, mwisho ni sare ya bila kufungana.

Rekodi zinaonyesha Guardiola kashinda mechi nyingi zaidi ya Mourinho katika mechi walizokutana.

REKODI:
Mourinho kashinda: 4
Guardiola kashinda: 8

Sare: 7

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic