April 5, 2017
Wakati Serengeti Boys wakielekea kwenda nyumbani kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan  kupata naye chakula cha jioni kwa mwaliko wake, maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wamekamata basi wanalotumia na kuwashusha njiani. 

Viongozi wa Serengeti Boys wanatafuta basi jingine kuitikia mwaliko wa Mama Samia. Huenda wakachelewa mwaliko kutegemea kupatikana kwa usafiri mwingine.

Alfred Lucas

MCO - TFF

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV