May 13, 2017


Lionel Messi ameshinda tuzo ya mwanasoka bora wa mwezi wa La Liga.

Raia huyo wa Argentina amefunga mabao 51 katika mechi 49 hivyo kumfanya kushinda tuzo hiyo kwa Aprili lakini kwake inakuwa ni mfululizo.


Tayari amepachika mabao 504 akiwa na kikosi cha Barcelona.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic