Michy Batshuayi ndiye aliyefunga bao lililoipa helsea ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Wes Brom lakini kuihakikishia kubeba ubingwa wa England, msimu huu.
Chelsea wamefunga Wes Brom kwa bao 1-0 na kujihakikishia kubeba ubingwa wa Ligi Kuu England licha ya kubaki na mechi mbili mkononi.
Hapa anaonekana akiwa amechukua moja ya kamera ya wapigapicha katika vyombo vya habari na kuonyesha pia anaweza, si kufunga tu, hata kazi ya uandishi.
0 COMMENTS:
Post a Comment