May 16, 2017


Baada ya ushindi wa mwisho kwenye uwanja wake wakati Tottenham Hotspur ilipoitwanga ’Man United kwa mabao 2-1, sasa rasmi umevunjwa.

Uwanja wa White Hart Lane umefikia kikomo kwa wataalamu kuanza kuvunja kila kitu ili kukamilisha ujenzi wa uwanja mpya ambao unaendelea.

Taswira kadhaa zikionyesha mwisho wa uwanja huo. Hizi hapa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV