May 17, 2017Kiungo nyota wa Manchester United, Paul Pogba amefiwa na baba yake mzazi.

Kiungo huyo Mfaransa mwenye umri wa miaka 24, amepata msiba wa baba yake mzazi aitwaye Fassou Antoine aliyefariki Ijumaa. Imeelezwa ndiyo chanzo cha kuikosa mechi dhidi ya Tottenham.


Baba yake anatarajiwa kuzikwa leo na Pogba tayari yuko nchini Ufaransa kwa mazishi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV