May 10, 2017Manchester United mapemaa imeamua kuuweka hadharani uzi wake mpya wa msimu wa 2017/18.


Uzi huo unaonekana kurudisha kumbukumbu ya Man United kuhusiana na jezi za enzo hizoo wakati wa kipindi cha Alex Ferguson na wachezaji kama Ryan Giggs walikuwa wakichipukia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV