June 6, 2017


Mshambulizi mpya wa Azam FC, Waziri Junior ametambulishwa rasmi.

Azam FC jana ilimsajili mshambulizi huyo aliyemaliza msimu uliopita akiwa na Toto African ambayo imeteremka daraja.

Lakini leo rasmi uongozi umemtangaza rasmi mshambulizi huyo kinda aliyefunga mabao 6 msimu uliopita.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV