Simba inashuka dimbani leo dhidi ya Nakuru All Stars ya Kenya katika mechi yake ya kwanza ya michuano ya SportsPesa Super Cup. Kikosi chao hiki hapa na wanaoanza mmoja wao ni beki Jamal Mwambeleko ambaye amejiunga na timu hiyo akitokea Mbao FC.
KIKOSI:
1. Daniel Agyei
2. Besala Bukungu
3. Jamal Mwambeleko
4. Masoud Bakari
5. Yusuf Mlipili
6. Feston Munezero
7. Mwinyi Kazimoto
8. Mohamed Ibrahim
9. Athanas Pastory
10. Juma Liuzio
11. Jamal Mnyate
AKIBA
Peter Manyika
Peruzi Makiwa
Costa Vincent
Mussa Mohammed
Moses Kitandu
Fredrick Blagnon
0 COMMENTS:
Post a Comment