June 5, 2017


Wachezaji wa timu ya taifa ya England wakiongozwa na kocha wao, Gareth Southgate wameonjeshwa mazoezi ya kijeshi kidogo tu.

Wachezaji hao walipewa nafasi ya kwenda katika kambi ya Jeshi la Ulinzi la England na kushiriki mafunzo kadhaa.

Kikosi hicho kinajiandaa na mechi ya kuwania kucheza Kombe la Dunia dhidi ya Scotland na baada ya hapo watacheza na Ufaransa.




KIKOSI KAMILI:
MAKIPA: Jack Butland (Stoke City), Fraser Forster (Southampton), Joe Hart (Manchester City), Tom Heaton (Burnley) 

WALINZI: Ryan Bertrand (Southampton), Gary Cahill (Chelsea), Nathaniel Clyne (Liverpool)*, Aaron Cresswell (West Ham United), Ben Gibson (Middlesbrough), Phil Jones (Manchester United), Chris Smalling (Manchester United), John Stones (Manchester City), Kieran Trippier (Tottenham Hotspur), Kyle Walker (Tottenham Hotspur) 

VIUNGO: Dele Alli (Tottenham Hotspur), Eric Dier (Tottenham Hotspur), Adam Lallana (Liverpool), Jesse Lingard (Manchester United), Jake Livermore (West Bromwich Albion), Alex Oxlade-Chamberlain (Arsenal), Raheem Sterling (Manchester City)

WASHAMBULIZI: Jermain Defoe (Sunderland), Harry Kane (Tottenham Hotspur), Marcus Rashford (Manchester United), Jamie Vardy (Leicester City) 








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic