June 6, 2017


Bondia Anthony Joshua raia wa Uingereza ameanza mazoezi tena.

Mazoezi yake yanatafsiriwa kama ni maandalizi ya kujiandaa na pambano la marudiano dhidi ya Wladimir Klitschko. 

Joshua alimtwanga Klitschko, 41, kwa TKO na kubeba ubingwa wa dunia wa uzito wa juu wa IBF na WBA.

Lakini Klitschko amesema anaweza kurudiana na Joshua au kustaafu. Hivyo kuonyesha kuna uwezekano wa pambano la marudiano.


Lakini wakala wa Joshua airway Eddie Hearn yeye amesema fedha zilizotengwa kwa ajili ya pambano hilo la marudiano, Klitschko hata akiwa na uamuzi wa kustaafu, ataahirisha na kucheza.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic