June 7, 2017


Juventus ya Italia ambao walitinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na kucheza dhidi ya Real Madrid wameachia uzi wao mpya wa msimu ujao.

Uzi huo unaotengenezwa na Adidas ndiyo watakaoutumia katika msimu wa 2017-18 na tayari umeonekana kuwavutia watu wengi.

Juventus ndiyo timu inayotamba zaidi katika soka la Italia na Serie A kwa ujumla.


JEZI ZA MSIMU ULIOPITA

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV