Mshambulizi nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameendelea kutamba kuwa mwanamichezo tajiri zaidi duniani.
Ronaldo ameshika namba moja kati ya wanamichezo 100 hii ikiwa ni mwaka wa pili mfululizo.
Akiwa na makampuni 27 anayofanya nayo kazi, jarida la Forbes limemtangaza kuwa ndiye mwanamichezo tajiri zaidi hadi sasa kwa 2017.
Ronaldo anaonekana kuingiza jumla ya pauni million 71.8 saws na cola million 93 kwa mwaka na kufuatiwa na mchezaji nyota zaidiw a mpira wa kikapu kipindi hike, LeBron James wa Cavs.
Baada ya hapo anafuatia Lionel Messi wa Barcelona halafu mcheza tenisi kutoka Uswiss, Rodger Federer na Kevin Durant kutoka Golden State Worriers ya Marekani anafunga tano bora.
MSHAHARA MAKAMPUNI JUMLA
1 Cristiano Ronaldo Football 44.8 27 71.8
2 LeBron James Basketball 24.1 42.5 66.6
3 Lionel Messi Football 40.9 20.9 61.8
4 Roger Federer Tennis 4.6 44.8 49.4
5 Kevin Durant Basketball 20.5 26.3 46.8
6 Rory McIlroy Golf 12.4 26.3 38.6
6 Andrew Luck American Football 36.3 2.3 38.6
8 Stephen Curry Basketball 9.5 27 36.5
9 James Harden Basketball 20.5 15.5 36
10 Lewis Hamilton Formula One 29.4 6.2 35.5
0 COMMENTS:
Post a Comment