June 6, 2017

MUNEZERO AKIWA KATIKA BASI LA SIMBA KWENDA UWANJANI, LEO.


Beki wa kati wa Rayon Sports ya Rwanda, Feston Munezero leo atakitumikia kikosi cha Simba.

Munezero amepangwa kuanza katika kikosi cha Simba na kama atafanya vizuri atapata nafasi ya kusajiliwa. Anacheza katika mechi ya SportPesa Super Cup dhidi ya Nakuru All Stars.

Simba inashuka dimbani saa 10 jioni katika michuano hiyo na kama itashinda, itakuwa imevuka hadi nusu fainali ya michuano hiyo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV