June 20, 2017


Mdau wa soka nchini, Aziz Mohamed naye amejitosa kuwania uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Mohammed amechukua fomu na kumaliza kila kitu ili kupata nafasi ya kuwania ujumbe katika mkutano mkuu wa TFF utakaofanyika Agosti 12 mjini Dodoma.


Tayari wagombea wamekuwa wakichukua na kurudisha fomu katika makao makuu ya shirikisho hilo kwa ajili ya uchaguzi huo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV