June 8, 2017


Rais wa Real Madrid, Florentino Perez hutu hapa akiwa ameweka pozi na makombe 12 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Hili ni mambo la kujivunia kwa kiongozi yoyote yule.

Hakika ni mafanikio makubwa kabisa na utaona Real Madrid inakuwa klabu bora katika kizazi hike na kilichopita kwa kuwa ina makombe sita ya zamani ya Ligi ya Mabingwa wakati huo inajulikana kama klabu bingwa na mapya sita.


Makombe ya 12 au Undecima na la 13 Duodecima, wameyachukua ndani ya misimu miwili mfululizo na kuweka rekodi ya kuwa klabu ya kwanza kulibeba na kulitetea.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV