July 29, 2017


Baada ya kuzichapa na beki mpya wa Barcelona, Nelson Semedo , mshambuliaji Mbrazil, Neymar amerejea mazoezini.

Barcelona bado iko Miami nchini Marekani na Neymar alitoka mazoezini kwa hasira baada ya ugomvi huo jana.

Baadaye ikaelezwa hatarejea Hispania na Barcelona na yuko katika mpango wake wa kutaka kuondoka kujiunga na PSG ambayo inamtaka kwa udi na uvumba.

Hata hivyo, leo amerejea mazoezini lakini akionekana ni mtu asiye na furaha.


1 COMMENTS:

  1. Neymar a été nommé deux fois le footballeur sud-américain de l'année, en 2011 et 2012, avant de déménager en Europe pour rejoindre Barcelone.

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV