July 29, 2017



Kocha George ‘Chicken” Lwandamina ameamua kumpa mazoezi ya ziada mshambuliaji wake mpya, Ibrahim Ajib.

Lwandamina ameamua kuhakikisha Ajibu anakuwa fiti katika kiwango kinachoweza kumfanya atimize majukumu atakayompa.

"Lwandamina amegundua Ajibu ni mchezaji mwenye kipaji sana lakini hayuko fiti kama anavyotaka, hivyo ameamua kulifanyia kazi hilo," kilieleza chanzo.

Yanga ipo kambini mjini Morogoro ambako inajiandaa na msimu mpya wa 2017-18.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic