July 30, 2017


Kiungo Nemanja Matic amefuzu vipimo na muda mchache atatangazwa kuwa mchezaji rasmi wa Man United.

Matic anatoka Chelsea kujiunga na Man United kwa mkataba wa thamani ya pauni million 31.


Raia huyo wa Serbia amekuwa chaguo namba moja la Kocha Jose Mourinho tokea akiwa Chelsea na sasa ametua Man United amefanya juu chini kuhakikisha anamnasa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV