July 30, 2017


Manchester City wamerejea nchini England tayari kufanya maandalizi ya mwisho jiandaa na ligi kuu.

Kikosi cha Man City kimerejea na kivazi walichokuwa wamevaa kimeonyesha kuwavutia watu wengi.

Wachezaji hao wakiongozwa na Yaya Toure, Samir Nasri, Gabriel Jesus, Benjamin Mendy, nahodha Vincent Kompany walikuwa wamevaa kaputura pamoja na fulana laini nyeusi zenye mvuto.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV