PAMOJA NA KUUMIA, USAIN BOLT AFANYA YAKE DIAMOND LEAGUE YA MONACO Usain Bolt ameibuka mshindi katika mashindano ya Diamond League mini Monaco, Ufaransa kwa kushinda mitt 100. Bolt ameshinda kwa kutumia sekunde 9.95 huku akipata maumivu ya nyama za papa wakati akimaliza.
0 COMMENTS:
Post a Comment