August 6, 2017


Simba imefanya mazoezi yake ya kwaza kwenye Uwanja wa Gymkhana jijini Da es Salaam ikiwa ndiyo imerejea nyumbani ikitokea Afrika Kusini.

Mazoezi hayo hayakuwa makali sana na Kocha Joseph Omog alionekana kusisitiza wachezaji wake kutochea kwa nguvu sana akihofia wataumia.

Mechi ya kwanza ya Simba jijini Dar es Salaam itakuwa keshokutwa katika Tamasha la Simba Day.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV