August 6, 2017Singida United imemsajili mshambulizi wa Kaizer Chiefs ikiwa imefunga usajili wa wachezaji wa kigeni.


Michelle Katsavairo amejiunga na Singida United kwa mkopo akitokea Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.


Singida United na Kaizer Chiefs zimekubaliana kuhusiana na Katsavairo kuhusiana na mchezaji huyo ambaye anaaminika ni mkali kwa kufunga hasa kwa mashuti makali.

Katsavairo sasa anaungana na wachezaji wengine wa safu ya ushambulizi ya Singida United kama Simbarashe Nhivi, Danny Usengimana, Atupele Green na Katsairo Michelle raia wa Zimbabwe aliyetua leo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV