August 17, 2017


Baada ya kuichapa Barcelona katika mechi zote mbili za Spanish Super Cup, Real Madrid hawa hapa wakiwa na mwali wao ndani ya Santiago Bernabeu.

Vijana hao wa Zinedine Zidane wameshinda mechi ya kwanza ugenini kwa mabao 3-1 kabla ya kushinda mechi ya pili leo kwa mabao 2-0, hivyo kuibuka na ushindi wa jumla wa mabao 5-1 dhidi ya Barcelona.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic