August 20, 2017


Hatimaye kwa pamoja, wanachama wa klabu ya Simba, wamepitisha mabadiliko ya klabu yao huku mwanachama mmoja tu akikataa.
Wanachama waliofanya mkutano kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, wamekubaliana sasa klabu hiyo imeingia katika mfumo wa endeshwaji utakaohusishwa uuzaji wa hisa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic