August 10, 2017PSG ndiyo iliyoweka rekodi ya usajili msimu huu kwa kumsajili Neymar kwa kitita cha pauni milioni 198.

Taarifa zinaeleza, PSG imeanza mazungumza na Mbappe na PSG inajiandaa kuweka rekodi nyingine ya usajili wakati inamnasa Mbappe.


Mbappe alikuwa akiwania na Real Madrid lakini inaonekana Monaco wameingia na kufanya yao wakiwa na uhakika wa kumpata mshambulizi huyo matata.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV