August 1, 2017


Nahodha wa zamani wa Simba, Hassan Isihaka ameepuka Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara baada ya kutua Mtibwa Sugar kwa mkataba wa miaka miwili.

Isihaka alikuwa mchezaji wa Simba baadaye akatua African Lyon ambayo imeteremka hadi daraja la kwanza.


Lakini leo amekamilisha usajili wake na kujiunga rasmi na Mtibwa Sugar ili kuongeza nguvu safu ya ulinzi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV