August 3, 2017
Nyota wa Barcelona, Neymar ametua mjini Porto katika hatua za mwisho kujiunga na Paris Saint-Germain.
Barcelona imekubali kumuachia Neymar kwa kiasi kwa pauni milioni 198.
Baada ya kupimwa Neymar atakuwa akilipwa mshahara wa pauni 596,000 kwa wiki baada ya kukatwa kodi.


Usajili wa Neymar pamoja na kuwalipa watu kadhaa kama mawakala inaelewa PSG watato hadi pauni milioni  398.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV