August 3, 2017 Bei ya Paulo Dybala wa Juventus ni euro milioni 140.

Juventus ya Italia imeiambia Barcelona, kama inamtaka mshambulizi huyo kwa kuwa Neymar anaondoka, iweke fungu hilo mezani.


Barcelona inaonekana imepania kumpata Dyabala na mambo yakishindikana chaguo la pili ni Coutinho wa Liverpool.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV