August 6, 2017


Beki gwiji wa zamani wa Arsenal, Sol Campbell leo ameangalia mechi ya Ngao ya Jamii kati ya Arsenal na Chelsea akiwa na mashabiki wa soka Tanzania.
Campbell yuko nchini katika ziara maalum iliyoandaliwa na kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa.
Mashabiki wa soka walijumuika naye kwenye Viwanja vya Leaders jijini Dar es kushuhudia mechi hiyo kali iliyokuwa ikirushwa moja kwa moja SuperSport.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV