TSHISHIMBI AANZA MAZOEZI KUJIANDAA NA SIMBA Kiungo mpya wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi ameanza mazoezi na kikosi chake mjini Pemba. Tshishimbi ameanza mazoezi hayo leo kujiandaa na mechi dhidi ya Simba.
👏👏👏👏👏👏 nongera saleh jembe KwA kutupatia HABARI za michezo
ReplyDelete