August 13, 2017


Wagombea wa nafasi mbalimbali za Rais na Makamu Rais TFF, wakiwa wamekaa pamoja baada ya matokeo kutangazwa jana mjini Dodoma.

Wallace Karia aliibuka mshindi nafasi ya urais na makamu ameshinda Michael Wambura.


Pichani unawaona Imani Madega, Shija Richard  Frederick Mwakalebela wote walikuwa wagombea urais pamoja na Mtemi Ramadhani aliyegombea umakamu, kama hawaamini vile au kama wanatamani uchaguzi urudiwe tena. Lakini ndiyo hivyo sasa wanachotakiwa kufanya ni kuwaunga mkono walioshinda.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV