August 3, 2017


Idara ya Uhamiaji Tanzania imesema kuwa Wallace Karia ni raia wa Tanzania.
Taarifa imeeleza kuwa Karia amebainika kuwa raia wa Tanzania baada ya zoezi la vipimo.
“Ni kweli lakini taarifa itafuata,” chanzo kilieleza.
Karia anayegombea Rais wa TFF aliwekewa pingamizi na Uhamiaji ikaamua kulishughulikia suala hilo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV